King's Mic

King's Mic Lyrics

10 Ideas  by The Wernono Family

Song  ·  4:10  ·  English

(P) 2014 Music Copyright Society of Kenya

King's Mic Lyrics

Back again, your boy Shem
Wernono Fam in the hizeh
Check it
Nina silaha za sali ka Paulo na Sila
Ju neno lake mi hufuata ka desturi na mila
Na kila ngoma na funga na stretch hizo limits
Nahitaji hii taji so mi hitumia kipaji ...hiphop culture na sanaa ya uimbaji...
Heaven ndio mahali ganji yangu mi uhifadhi
Baadhi yenu nyi hunifeel the rest ni wie radhi
Hii ni gospel so we go for lyrical perfection
Si hupanga mistari ka voters time ya election
Kabla ngoma idie si huget muscle pull kwa shingo
Ju tumetingisha vichwa seriously to the single
Lost in sin na bado alitupenda
Kasema baba nitume namintaenda
Niwe mmoja wao nitembee kati yao
Na watakao amini watakuwa wanao
Yeah

This mic belongs to the King
And when I get behind it I give it my everything na hope utaamini ile flavour si hubring si kudance tu ngoma iko spin

This mic belongs to the King
And when I get behind it I give it my everything na hope utaamini ile flavour si hubring si kudance tu ngoma iko spin

Collabo kali na ka unashindwa ni nani
Wamecome kuleta ukweli ka kesi mahakamani basi ni vijana shwari kutoka mitaa za nani tunadie ukweli ni yesu kwengine haipatikani
Hakuna haja ya kuhit tukinde platinum
Ju skill bila truth basi ni Pope bila Vatican
Na cold bila cadigan na states bila michigan ka hiskizi words hakuna haja ya kukatika swali ni unacho fanya ni cha maana na ukweli unayofuata ni baraka ama laana ka unahisi maisha yako yote imesimama basi mjatibu yesu kutoka hapo salama ha

Lyrics powered by www.musixmatch.com


More from 10 Ideas

Loading

You Might Like

Loading


FAQs for King's Mic